Play station dvd

Dansel

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
249
Reaction score
59
wakuu na dvd ya play station nataka kuiplay kwenye pc nifanyaje
 
Wakuu nina dvd ya play station 2 nahihaji kuiplay kwenye PC nifanyaje nisaidieni kuhusu hili
 
angalia maelekezo yafuatayo, kutoka ehow

pia angalia hii video
How To Play Playstation Games on Your Computer - Video
 
Google kuna softwarez zinaitwa emulators,ambazo zinaifanya PC yako kuwa as if ni play station,then apo ndo utaweza ziplay hizo DVD za playsation ktk pC yako
 
kaka inawezekana kweli?....nina game pad mkononi karibu tuhitimishe mission ya clash of titans...l.o.l
 
Google kuna softwarez zinaitwa emulators,ambazo zinaifanya PC yako kuwa as if ni play station,then apo ndo utaweza ziplay hizo DVD za playsation ktk pC yako
Nafanyia kazi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…