Playboy weds a good girl: inspired by true events

thanks kwa ushauri. ingawa mimi si muumini wa "itaendelea kesho". so napenda niandike nimalizane na ninachokiandika. ila asante.
mm si mtunzi (i think)
Hii yako nimeshindwa kuisoma kutokana na urefu it's better ukaiweka kwa parts ni maoni tu,
Kama umewahi kutunga story au unaanza na mimi nahisi nina kitu kama hiki ndani yangu ila hype tu ndo nakosa ya kupata watunzi na kujichanganya nao kujifunza zaidi.
 
Huu uzi tuletee kule kula kimasiharaha...bt all in all its a good story yenye jambo la kujifunza ndani yake...Good women sio wa kutongoza, be a good friend ukisubiri kimasihara.
 
Simu za maafande uliwarudishia lakini?
 
t

Asante kwa feedback. means a lot.
Kati ya watu wanaokula maisha duniani Basi mzee wako anafaidi Sana na jambo la bahati kuwa na mtoto muelewa Kama wewe anaeappreciate hustling za mzee wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
thanks kwa ushauri. ingawa mimi si muumini wa "itaendelea kesho". so napenda niandike nimalizane na ninachokiandika. ila asante.
mm si mtunzi (i think)
Usikalie kipaji chako,unajua kuandika na kusimulia.
Angalia namna ya kufaidika nacho,ila kwenye uandishi usitumie lugha mbili.
 
Imenibidi niku follow tu hakuna namna.

Itapendeza sana kama utajiingiza rasmi kwenye utunzi wa novel hizi nimependa usimuliaji wako.

Though nimeshindwa kutenga kati ya chai na story halisi , maana kwangu zote naona halisi tu. 😁
 
Wewe ni mtunzi mzuri sana. Keep it up. Story zako ni kama matukio ya kweli na hii inazipa ubora sana ukilinganisha na za watunzi wengine.
Kitu kikubwa kinacho kutofautisha na wengine ni namna ya upangiliaji na uchanganyaji wa story ndogo kwenye story kubwa. Pia humchoshi msomaji kwa kuelezea tukio moja kwa maneno mengi sana "thats cool", Mfano; narrator wengine kitendo cha kusmile watakieleza kwa maneno mia like "...akaonesha tabasamu lenye bashasha, midomo yake ikawa kama inataka kupokea keki nzuri iloyotengenezwa kutoka Italy, huku macho yake yakiwa kama yanataka kufumba, misuli ya mashavu yake ang'avu ilikua imerelax huku meno yake yenye mpangilio mzuri yakianza kuonekana kwa mbali kama binti anaye elekea kupevuka....." Sasa hii wewe hauna na kwa upande wangu sii fagilii na ndio maana kila sentensi yako inanivutia kuendelea kusoma ijayo.
Nafikili wasomaji wengi tuliosoma story yako imetuvutia sana.
 
Waooh story yako imenifurahisha[emoji123]
Kuna mtu kaniuliza bando halijaisha kwa jinsi nilivyokuwa nime-concetrate[emoji2]
Ngoja nikatafute ile story ya Da Judy niirudie tena[emoji8]
 
Kati ya watu wanaokula maisha duniani Basi mzee wako anafaidi Sana na jambo la bahati kuwa na mtoto muelewa Kama wewe anaeappreciate hustling za mzee wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
thanks Bambaleta
 
Imenibidi niku follow tu hakuna namna.

Itapendeza sana kama utajiingiza rasmi kwenye utunzi wa novel hizi nimependa usimuliaji wako.

Though nimeshindwa kutenga kati ya chai na story halisi , maana kwangu zote naona halisi tu. 😁
shukrani kwa kunifuatilia. really appreciated
 
hahahah. nashukuru kwa kupenda uandishi wangu. will keep them coming
 
Waooh story yako imenifurahisha[emoji123]
Kuna mtu kaniuliza bando halijaisha kwa jinsi nilivyokuwa nime-concetrate[emoji2]
Ngoja nikatafute ile story ya Da Judy niirudie tena[emoji8]
🤣🤣🤣🤣 thanks sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…