Playboy weds a good girl: inspired by true events

Wanawake wa siku hizi wanapenda sana waume za watu,wenyewe wana kauli yao utawasikia "wanajua kulea...",kwa kifupi hawasikii hawa elewi.
 
Dada Judy kumbe ana msaada ni vyema ukuwagombanisha na mama yako.

Hizo simu kama ukiweza warudishie maafande sometimes wana ishi maisha magumu sana. Ila kama hutaweza tafadhali usimpe mtu wala usizitumie watakudaka siku moja.....

Pia usiziwashe....

Imepita muda gani tangu siku ya tukio?
 
So interesting, I think we need more stories from u tupe ata chai hahah
 
Mmeona jins watt wa kishua wanavyo fall ni very simple na smart na care nying itumike sasa tumia hii mbinu kwa watoto wa uswahilin domo zege yule
 
Alifanya kila analoweza mkaka wa watu" hii kauli inaonyesha dhahiri huruma ndizo zinazotuponza wanawake tunaishia kukosa misimamo.Tutawalaumu sana wanaume but kiukweli tumekuwa mama huruma sana.
Wanaume tukiishiwa mbinu, hilo ni kombola la mwisho 😂😂
 
Mmeona jins watt wa kishua wanavyo fall ni very simple na smart na care nying itumike sasa tumia hii mbinu kwa watoto wa uswahilin domo zege yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaambizana hauna maajabu
 
kumbe hata ule uzi mwingine ulipitia. thanks dear
Ka story kazuri sana na kananikumbusha ile story Judy sijui aliishi nje ya Nchi na kuna sehemu alimjua hawala ya baba yake aki share biashara na Mama Judy ilikuwa nzuri sijui km ni yenyewe na iliishaje sikumbuki ila Hongera ningeipata link yake!!
 
Mmeona jins watt wa kishua wanavyo fall ni very simple na smart na care nying itumike sasa tumia hii mbinu kwa watoto wa uswahilin domo zege yule
Hahaha, na misonyo juu
 
Ulivyoanza kumchunia uyo jamaa ulivyojua ana mke inaonyesha ulishaanza kuvutiwa nae,
 
Unafanya nimemiss lara 1

Una usimuliaji halisi mno.
Huboi hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…