Players who never realised their full potential

Watu wa arsenane bana...hivyo vitoto vya Wenger aliokota okota huko ndio uliviwekea matarajio makubwa?
 
5.THOMAS ROSICKY Ushawahi kumuona Uncle Tom akisakata kabumbu kwenye ubora wake?

Duh nyakati zimeenda wapi?

Siwezi kumuelezea huyu mtu mchawi mdogo "little mozart"

Hapo zamani za kale kulikuepo na mtu aliyeitwa Wolfgang Amadeus Mozart ... Maarufu kama Mozart... Huyu bwana alikua anauwezo mkubwa wa kupiga kinanda..

Watu walikua wanatoka mashariki, magharibi, kusini na kaskazini kuja kusikia muziki mtamu wa huyu mwamba.. sio tu kwamba watu walilia furaha wengine walipoteza fahamu kabisa... Raha iliyoje

Inasemekana hata Mozart alipokufa na kuzikwa wajerumani hua wanaenda kaburini na kutega sikio kwenye kaburi wasikie chochote huenda Mozart akapiga kinanda tokea huko kuzimu....

Baada ya miaka mingi akaja kuzaliwa mtu mwigine Thomas Rosicky toka jamhuri ya Czech huyu jamaa alikua pale Borussia Dortmund. Akiwa kilabuni hapo mwamba alikua anatandaza kambumbu Safi Sana kiasi Kwamba mashabiki wengi walikua wanatamani kila saa apigiwe pasi... Ile burudani waliokua wanapata wajerumani ikawafanya wamkumbuke Amadeus Mozart hivo wakaamini huyu Thomas Rosicky ni Mozart Mdogo basi wakambatiza jina la "Little Mozart"
Hatari Sana huyu Chalii
 
Mesut ozil
Marcus Rashord
Chicharito
James Rodriguez
Philip continho😭😭
Philip Cntinho alipokuwa Liverpool alikuwa kama almasi ya Mwadui. Aka-force kuhama, na ndiyo ukawa mwisho wake. Kuna mwingine tena yule wa Chelsea, Eden Hazard. Huyu naye aliisha mara baada ya kuhama, ila majeraha ndiyo ilikuwa kikwazo kikubwa. Kuna na huyu dogo aliyekuwa ameibukia Barcelono Ansu Fati. Japo bado kiumri ni mdogo lakini moto alionza kujulikana nao ulikuwa mkubwa. Sasa hivi hakuna mtu anayemzungumizia tena.
 
Hapa utagundua sababu mojawapo inayowanya wachezaj wafeli ktk carrier yao ni kuhama timu moja kwenda nyingine hapa utawaingiza wengi kama Torres, Arda Turan, Hazard,Redondo , Veron, Pedro,Swansteiger.
Nakubaliana na wewe. Wachezaji wengi wanapofeli pale wanapohama kulinganisha na wanapanda kiwango wanapohama.
 
Isco , Assensio, Puig, Denilson the great, Marco Van Basten, Lauren Mayer as a midfield
 
Inasikitisha
 
Kama wakina nani hao watu?
Kwa Zola unaweza kusema ni bahati mbaya Chelsea ya kipindi kile haikumpa platform ya kutosha ila kwa yeye binafsi alipeform ktk level ya juu na by then hakuwa anapata call ya timu ya taifa niliwah kusikia kuna kipindi Italia ukicheza nje ya taifa lao hauitwi national team ila am not sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…