Players who never realised their full potential

Kwa wakati ule Italia ilisheheni wachezaji hodari sana ktk nafasi ya zola,mf.pipo inzaghi,Roberto Baggio hivyo haikuwa rahisi kufua dafu.
 
Hata Chelsea Zola alipiga mpira mwingi bahati mbaya Chelsea ya wakati huo haikuwa nzuri. Kabla ya hapo alicheza kwa mafanikio makubwa kwenye klabu ya Palma ya Italia. Combination yake na Faustino Asprilla ilikuwa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…