PlayMaster (PM Bet) acheni utapeli

PlayMaster (PM Bet) acheni utapeli

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Kwema Wakuu?

Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa.

Kila nikiwasiliana nao mara kwa mara but nimeishia tu kupigwa kalenda. Siku kumi unakaa na hela ya mtu unajiamini nini? Utarudisha na interest kwa siku Zote hizo?

Mnajishushia uaminifu, watu watawakimbia kwa style hiyo. Makampuni ya betting ni mengi sana kwa Sasa.
 
sibeti nao tena hao play master, waambia wakulipe doo yako chap au nenda makao makuu yao
 
Inauzi sana yaan
 
Kwema Wakuu?

Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa.

Kila nikiwasiliana nao mara kwa mara but nimeishia tu kupigwa kalenda. Siku kumi unakaa na hela ya mtu unajiamini nini? Utarudisha na interest kwa siku Zote hizo?

Mnajishushia uaminifu, watu watawakimbia kwa style hiyo. Makampuni ya betting ni mengi sana kwa Sasa.
Umeacha forex
 
Play master walifunga matawi yao yote tafuta sehemu wapo nikupe laki 2 wamebaki mtandaoni tu.
Huku Namanyere sijawahi kuwaona,leo nimeona hela wameweka ,lakini mikeka 4 ina wiki ya tatu hawajailipa ipo pending
 
Back
Top Bottom