Umeacha forexKwema Wakuu?
Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa.
Kila nikiwasiliana nao mara kwa mara but nimeishia tu kupigwa kalenda. Siku kumi unakaa na hela ya mtu unajiamini nini? Utarudisha na interest kwa siku Zote hizo?
Mnajishushia uaminifu, watu watawakimbia kwa style hiyo. Makampuni ya betting ni mengi sana kwa Sasa.
Sijawahi kuicheza na niliapa sitaicheza....mimi na kubeti tuHa ha ha ha ha kitambo sana Kaka nmeshindwa mbinu mbinu zile. Vipi wewe bado unaendelea
Hivi hizi kampuni zinafirisikaga kweli?Mbona playmaster washaga firisika mda sana
MTU aliyepo Namanyere huku anawapataje?Nenda gaming board kawashitaki
Play master walifunga matawi yao yote tafuta sehemu wapo nikupe laki 2 wamebaki mtandaoni tu.Hivi hizi kampuni zinafirisikaga kweli?
Huku Namanyere sijawahi kuwaona,leo nimeona hela wameweka ,lakini mikeka 4 ina wiki ya tatu hawajailipa ipo pendingPlay master walifunga matawi yao yote tafuta sehemu wapo nikupe laki 2 wamebaki mtandaoni tu.