Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #121
Cuba ni mfano wa nchi ya kijamaa. Ningeweza kusema hata RussiaUmeshawahi kufika Cuba na USA?
Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania.Cuba ni mfano wa nchi ya kijamaa. Ningeweza kusema hata Russia
Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune.Rais Samia ameweka rekodi ya kupeleka umeme kila kijiji Tanzania Hii haijawahi kutokea kwa Africa Ahsante Samia kwa kuwatumikia Watanzania.
Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Samia.Asante Rais Samia wa ushujaa wako na Mafisadi lazima yanune.
Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama.Mabeberu waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Samia.
Samia tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi. We love you.Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama.
Samia miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa huyu mama.Samia tunataka maendeleo zaidi Rais wetu kipenzi. We love you.
Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia.Samia miaka mitano tena .ameleta mabadiliko makubwa huyu mama.
Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia.Viongozi wa bara la Ulaya na Asia kama vile Waziri mkuu wa India Narendra anamkubali sana Rais Samia.
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Samia oooyeeeeee.Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia.
Malkia yuko chini futi 6 sasa ndoto yko haiwez kutimia.Tunamsubiri Malikia wa Uingereza naye aje kumsalimia Rais Samia.
Wewe ni CCM mkuu?Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Samia oooyeeeeee.
Nipo kipenzi changu