Please advise

Kwani mimba inaingia mpaka muwe mmekutana mara ngapi?

Nadhani anamaanisha kuwa katika dunia ya sasa na tishio la UKIMWI - hukuona umuhimu wa kinga siyo tu dhidi ya mimba bali dhidi ya gonjwa hili na mengine.
 
Pole Bao3

Haya ni madhila ya dunia na kila mmoja humjia kwa yake njia.

Cha msingi kwanza chunguza kama kweli mtoto huyo ni wa kwako na ukishagundua kama ni damu yako basi mkalishe chini mwenzio umwambie jinsi asivyoiridhisha nafsi yako kwa sababu inawezekana yeye anavyofanya haoni kama anakosea na kwa wewe kukaa kimya haumsaidii anaona kila kitu shwari. Mweleze kikukeracho na athari ya yeye kuishi hivyo anavyoishi kisha mpe muda wa kubadilika.

Asipobadilika anza step wewe.
 


I second you!....watu wakishasikia mtu kapiga baoo demu mjamzito wanafikiria amefanya matusi bila protection...not necessatily unaweza ukatumia hizo condom na wakati wa msuguano condom ikapasuka bila ya wewe kujua kutokana na force anayotumia mwanaume pale anapo pump tena pale unapokutana na uke wa mwanamke kuwa mdogo (tight)...na mwanaume anaingia kwa shida ile friction inaweza pia fanya condom kupasuka...so may be mwenzetu alitumia condom na labda (mind you "LABDA")....Ikapasuka....

msaidieni swala lake na siyo kuanza kumfokea kijana wa watu yupo kwenye deep situation right now....

ila ndiyo hivyo keep in mind Bao03 utalipa child support ya huyo mtoto hadi ana turn 18 years na kwenda college...na unaweza usimuone kama usipoenda mahakamni na kuomba haki yako ya kuweza kuwa na right za mtoto kama unam-support....
 


Huyu jamaa hana maana kabisa hatakiwi kuchangiwa mchango wowote wa mawazo kwa hana huruma na hana hata staha yakuwa mwanaume.

Wakuu Oneni alivyomtesa huyu aliyezaa naye halafu anakuja kutafuta legal implication.

Habari wanabidii,
Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwa yale yote mnayo changia kuhusu
maendeleo ya taifa na kushauri jamii pale inapokosea

Ningependa nianze kama ifuatavo,mimi ni mwanamke mwenye umri wa kiaka
29ninafanya kazi katika kampuni moja hapa Tz. Miaka minne iliyo pita
niilibahatika kupata rafiki wa kiume ambaye tulikuwa tunasoma wote
chuoni,alinipropose kuwa ananipenda na yupo tayari unioa wala cyo kwa
kunichezea nilikubali tukawa ni marafiki wa uchumba na tutakuwa tunaishi
kama mke na mume tunashirikiana kwa kila kitu.Wazaz wake /kaka/dada
walikuwa wanafaham hilo kuwa mdogo wao anamchumba wapo wote ,niilibahatika
kumuona mama yake /mama mkwe mtarajiwa tukiwa chuoni mara mbili tuuu,tena
alikuwa akipita naambiwa nimpelekee maziwa huwa anasumbuliwa na vidonda vya
tumbo.tuliendelea na urafiki wetu hadi tulipo maliza chuo nilikuwa
ninaujauzito wake tayari na tulikuwa tunasubiri kuitwa kwa kazi kwasababu
tulifanya na interview mapema tukiwa chuoni bado.nilimwambia kuwa mimi
nimmjamzito akakubali na akanambia nikawaambie home ili tufanye maandalizi
ya harusi.hapo ilikuwa ni mwaka 2007,niliwaambia home kama ujuavo wazaz
walikasirika sana kiac kwamba mdingi alipata na Presha kwa kuwa hakutarajia
kitu kama hicho ukizingatia mimi ni first born wake,mama alim please hadi
akatulia but alisema okay fine ,kama ameamua basi sawa tumwachie afanye
atakavo koz yeye siyo mtoto mdogo tena.Basi bwana mie nikamwambiamwenzangu
kuwa nisha waambia home ila kwakuwa nimepata ujauzito nikiwa nje ya ndoa
unatakiwa kuja home ujitambulishe na vilevile nikuomba msamaha ili ijulikane
utaoa au vipi

?Heeeeeee utafikiri nilichokoza nyuki kipindi hicho ndo alikuwa anahangaikia
maswala ya kazi akanambia ati hawezi kuja home saivi kwa vile anahangaikia
maisha kwanza,nikamwambia wazaz wangu wanataka wakuone na pia wajue utalea
mimba au utakataaaaa, basi tokea hapo hatukuonana tena tangu aniache chuoni
mimba ni changa hadi akapata kazi nikamkumbusha tena lakini ndo alikuwa
hataki hata kusikia akaanzisha Jingine la kuwa ngoja nijipange vizuri
kimaisha hapo mie tumbo linazidi kukua kila siku.mungu si athuman nilipata
kazi kama mhasibu ,niliweza kujikimu kwa vitu vidogovidogo,yeye nilikuwa
nikimwammbia ninashida na hela ananiambia hana,na wakati huo alikuwa
kabadilika sana hata kuniona saa zingine inakuwa kama ni karaha vile,mi
kashukuru mungu kuwa ninakazi basi nitaishi .kwasababu kama ni maisha
nilimsaidia kwa kila kitu wakati tupo chuoni hadi anapata kazi ni juhudi
zangu pia nilichangia lakini nilipo enda kwake ikawa ni shida
tupu.tuliendelea na maisha ya ainaile hadi nipo enda kujifungua home,kumbuka
hadi naenda home kujifungua alikuwa bado hajaenda kuwaona tena wazaz ingawa
ndo aliyekuwa wa kwanza kunilazimisha kuwaambia kuwa mi ni
mjamzito,.nashukuru mungu nilijifungua salama mtoto wa kike,yupo hadi sasa
lakini siku ambayo naenda kujifungua aliniachia hela ambayo niitumia kwa tax
tuuu ,yeye kama yeye alisema mshahara hauja toka bado mi nikasema fine
hakuna shida madam ninapesa inaingia bank na mimi na pia WAZAZ wangu
walinihudumia kwa kila kitu sikuona shida yoyote ile,siku niliyo toka
hospital alikuja kumuona mtoto na kuanza kumkagua kama anafanana na yyeye au
vipi nikamwacha akamwangalia thenananiaga kuwa atasafiri kurudi kazini,hela
hana ila atanitumia akifika.nikasema sawa ,ndugu mwanabidiiii tangu alivo
ondoka hakurudi tena wala kutuma hela ya matumizi ya mtoto hadi nikaridi
kazini baada ya likizo ya uzaz kuisha.chakushangaza nipo fika alishangaa
sana kwasababu sikumtaarifu kama nitarudi lini.wazaz wangu walikasirika
sana,kwamba wamemtunzia mimba,kwakweli hata miye nilijiskia vibaya koz huwez
amini hata mama yake hakuwahi kunijulia hali katika kipindi chote kile
alikuwa anakuja kuwasalimia ndugu zake hapo anapo fika yeye ni kilometa 90
kufika kwangu lakini hajawah kuja hadi kesho ninavo ongea

Sasa ishu inakuja kwamba huyu niliye zaa naye ilifikia mahali nilichoka
kumvumilia kwa sababu alianza tabia za ajabu alishakuwa na mwanamke mwingine
tena,nikamwambia mimi na yeye basi kwanza sijaona chochote kile
alichonisaidia kwa mtoto hadi umpigia kilele sana.wazaz wangu wamenambia
kuwa hawataki kumuona na kusikia kuwa anataka kunioa kwasababu mpaka ssasa
mtoto kesha kuwa anakaribia miaka miwili sasa,pia kwa sasa tangu mwez wa
pili amekuwa kunisumbua sana kuwa anataka kunioa ikafikia mahali alitaka
kujiua lakini mi namwambia kuwa sipo tayari nishaamua kuishi pekeyangu
tuuu.Kwani nikiishi mwenyewe ni makosaaa??????ametangaza mitaani kuwa mimi
ni mkewe ili hali hatujafunga ndoa bado je hilo pia ni sawaaaaaa???

NDUGU ZANGU NAOMBENI USHAURI KWA HILI KWANI MIM IHAPA NISHAMWAMBIA KUWA
SITAKI TENA KUOLEWA NA YEYE ,AKAOE MTU MWINGINE KWASABABU HAKUNA NDUGU YAKE
HATA MMOJA AMBAYE ALISHA MUONA MTOTO ZAIDI YAKE YEYE BABA WA MTOTO TUUUU.

NAOMBA USHAURI KWA HILI........niishi kwa amani
 
ninachomaanisha ni kwamba atakutanaje na mtu usiku mmoja yani kwa mara ya kwanza tu hawajuani vizuri alale naye bila kutumia kinga, hajipendi au alikuwa maelewa?

Kwani ulitaka watumie zaana baada ys iku ngapi?
Maana nyie siku ya kwanza unataka zana na ya 2,3,4, alafu ya 5 daluga mnaziweka pembeni mnaanza kumega kavu.
 
dada Chaku umeona mapenzi hayo ya Vyuo?
Mapenzi ya vyuo mnaachana kichuo chuo siku zote ni ya kudanganyana tu hakuna cha ndoa wala cha mdudu wa harusi huyu dada alisha chezea shilling ****** kukubali kumegwa kabla ya ndoa kwa hiyo amejifunza cha ajabu utakuta linajitokeza lijitu jingine litammega tena.
 
....siku zote... si kweli mkuu, mengine si ya kudanganyana...ingawa wengi tulishadanganywa...wengine hawakudanganywa/hawakudanganya.
 

Yaap...hiyo ndiyo maneno inatakiwa kumpa huyu mshikaji........! akitaka ya ngoma vilevile anapewa accordingly!
 

Poti......watch out your words.......!
 
....siku zote... si kweli mkuu, mengine si ya kudanganyana...ingawa wengi tulishadanganywa...wengine hawakudanganywa/hawakudanganya.

Tunaangalia majority wengi wape au sio walio wengi wanaachana siku akisha maliza tu ndo hapo kama ulikuwa unachunwa ndo mwisho wake hapo hapo game anaenda kuliendeleza yule wa uswazi.
 
Kwa nini unawaza kupoteza muda? Cha muhimu hapa usikwepe reaponsibilities zako anajua kusave hajui wewe ni baba wa mtoto, endela kutoa matumizi huku unamwekea mwanao akiba pembeni kama mama yake hawezi kufanya hivyo.

Nilichogundua kwako ni kwamba hujali, kama hukuona huruma ya kulala na mwanamke for the first time kavu hata malezi ya mtoto nina mashaka nayo, usitumie kigezo cha kuonewa huruma kwenye saving.badilika kabla ya kuitwa careless.
 
Naam Next Level..umeongea ukweli..kuna mabinti wa kanisa na watu wana aangaika nao..wakiingia mtegoni tuu haukumbukia hata ndomu...so sio kila one nyt stand ni tupio..
Well BAo3...
Mchezo ni ule ule..Check kwanza kama ni mtoto wako au mtoto wetu...ukiconfirm kaka endelea kulea mtoto ,..Damu haikimbiwi kaka..itakusaka..Huyoo mama kama haendelezeki usimuendeleze..akishtuka atakuwa kachelewa...
 
Cha muhimu hapa usikwepe reaponsibilities zako anajua kusave hajui wewe ni baba wa mtoto, endela kutoa matumizi huku unamwekea mwanao akiba pembeni kama mama yake hawezi kufanya hivyo.

Imenitokea hii na wala sidanganyi kuna mwanamke nilipata kumega miaka 7 iliyo pita akanitafuta akasema ana mtoto wangu baada ya kuzaa akiwa na miaka 3 nikaenda kumchukua na kufuata hatua zote za kimila mwezi ulio pita mama ake amekuja kumchukua anasema sio mwanangu kuna baba ake sio mimi nimesha mlea miaka 4 sikubisha nimemwachia.
Wanawake mimi siwaamini kamwe namwamini mama yangu tu.
 

Myalukolo mbona story yako inasound so herry springer hahahahaha!.....anakwambia "you are not the father"......alafu ulisham-take care miaka kadhaa.....

kuna hii issue imetokea juzi tuu hapa this couple wameoana kama mika 7 iliyopita mke kapata kashika mimba hadi kajifungua mume anajua mtoto ni wake...wala hakuwa na doubt.....kumbe mke alikuwa anachez amchezo mbaya nje ya ndowa...na mistake aliyofanya alimuelezea jamaa aliyekuwa ana cheat naye kuwa mtoto ni wako si jamaa anamtaka mtoto wake sasa hivi...hataki masihara atiii.....je mnadhani mume inabidi amsamehe mkewe au?maana wana watoto 3 so far achilia mbali huyo mtoto wa kambo...aliyezaliwa na mwanaume mwingine ndani ya ndoa.
 

Hahahahahahahahahahahahhahahha acha hizo wewe...
 
Samahani kwani huyu anayesema hapa Bao3 na huyo wa wanabidii ni mtu mmoja? mbona sielewi au kwa vile ni mvivu wa kusoma habari ndefu eh?
 
Samahani kwani huyu anayesema hapa Bao3 na huyo wa wanabidii ni mtu mmoja? mbona sielewi au kwa vile ni mvivu wa kusoma habari ndefu eh?

ndo ushange sasa,

Ila jamaa anachotaka kujua ni legal implication ya mtoto je akimuacha anaweza banwa na sheria na je akimchukuwa anaweza lindwa na sheria ndo anachotaka debate zingine zote nikuendeleza maada tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…