please any knows , matokeo ya mwanangu haya onekani.

Yamefungiwa! Huenda mwanao kala hela ya mtihani! Nenda necta kalipe yatafunguliwa.
 
kama alivyosema kidadari lakn hii ungeipelekb kwenye jukwaa la elimu ndo mahali pake hasa
 
kama alivyosema kidadari lakn hii ungeipeleka kwenye jukwaa la elimu ndo mahali pake hasa
 
Ndio yule aliyechora freemasonry sign, si ndio anaitwa..............
 
Ushaliwa hapo dogo kala ada nenda kalipe Necta yamefungiwa
 
Asanteni kwa ushauri ngoja sasa , apate Bakola mimi nilijinyima nikalala njaa , kumbe yeye kala Ada ya mtihani
 
Kwanza fanya uchunguz Kama kilaza usende kuharib pesa zako na Kama msomaj kwanini ale pesa za mtihani
 
Kuna ambao wamefutiwa mtihani piaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…