OPRAH WA BONGO
Member
- Mar 27, 2012
- 10
- 9
Mimi ni msichana wa makamo. Nataka kujikwamua kimaisha kwa juhudi zangu mwenyewe na sio kutegemea mwili wangu kwa urembo/uzuri ndio viniinue. Nina elimu kiasi nataka kujiajiri.
Nimefikiria kufanya biashara ya Samaki Sato na Sangara kutoka mwanza, nimeshafanya survey na nimeshalipia kodi ya pango na vyote vinavyohitajika. Tatizo nimekwamia hapo kwenye mtaji, benki nyingi nilizotembelea wanahitaji dhamana/biashara iwe imesharun kwa zaidi ya kpindi kisichopungua miezi 6/mwaka. Mimi ndo kwanza nataka kuanza na ukizingatia ndio nimemaliza chuo, sina funds zozote zaidi ya hizi nilizisev kwa muda mrefu. Ninauweza wa kurudisha pesa hii kwa kuanzia, shilingi laki moja kila mwezi, baada ya miezi 6 nitarudisha laki 2 kila mwezi mok pesa itapoisha.
Pia naomba mawasiliano na mawakala wa ukweli wa mwanza, bei za samaki kwa kilo na lolote muhimu.
Please advice.
Mawasiliano kwa email: gisselleanthony@yahoo.co.uk
NB: Am very serious, tafadhali unapowasiliana nami iwe kwa ajili ya hili tu na si vinginevyo.
I STAND CORRECTED;