Please assist - tax holiday

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
1,222
Reaction score
776
Habari za kazi? Hivi bano tax holiday ipo hapa nchini kwetu au ilishafutwa? What I understand ni kwamba tax holiday ipo kwa strategic investors ambao wana invest more than $25m ila kuna mtaalamu wa kodi humu JF kaandika sehemu kuwa ilishaondolewa tangu mwaka 2000. Tafadhali nijuzeni kwani kuna investment kubwa tunategemea kufanya na hii ni moja ya factor ambayo itawavutia hawa invetors
 
Hakuna tax holiday kwa sasa. Kuna 'incentives'!
 

Tax Holiday ipo mpaka kesho. Inatolewa kwa strategic investorz kama ulivyosema. Hao strategic investorz ni wale wanao wekeza kwenye Special Economic Zones na Export Processing Zones. Tax holiday inatolewa na kusimamiwa na wizara, Investment Incentives zinatolewa na TIC
 
Tax holidays ipo tena up to 10 years(vat+income tax) kama ukiekeza kwenye EPZ sector..tafuta EPZ act
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…