Please Could You Be Honesty to Us?

Lizzy mbona unauliza maswali kwa mlengo hasi sana........dah.

Jamani...yote hiyo ni kwasababu mna nafasi ya kuonyesha/kujibu kwa uHASI....ningekua nimetoa statement ndo ingekua mbaya maana ningekua nimeshaamua nnachotaka kuamini!!

Haya majibu tafadhali!!!
 
Tatizo wengi wenu mnasema mnataka ukweli wakati ukweli ni kwamba hamtaki kusikia ukweli!!
Kama huu niliousema nna uhakika hautaupenda!
 
Tatizo wengi wenu mnasema mnataka ukweli wakati ukweli ni kwamba hamtaki kusikia ukweli!!
Kama huu niliousema nna uhakika hautaupenda!

mimi napenda ukweli.......mbona
 
Una uhakika???!Basi kwanzia leo usiniulize tena kama wewe ni handsome...!lolz

he he heee
hilo mbona easy....
unajua ukweli upi unauma????
when i asked you.
umeridhika???after nanihino.....
suppose uwe hauku feel kabisa....lol
 
he he heee
hilo mbona easy....
unajua ukweli upi unauma????
when i asked you.
umeridhika???after nanihino.....
suppose uwe hauku feel kabisa....lol
Hhahahhaa...then don‘t ask me that either..or whether you are better than my Ex!
 
Hhahahhaa...then don‘t ask me that either..or whether you are better than my Ex!

huu huuuu
thats very cruel kwa kweli.....
suppose uniambie..
i dont feel anything...ukimaliza niambie lol
 
huu huuuu
thats very cruel kwa kweli.....
suppose uniambie..
i dont feel anything...ukimaliza niambie lol
Hahahahah...that too!!See....ukweli hamuwezi kuubeba kwahiyo inabidi tuchambue yapi tuwaambie na yapi tumezee!
 
Hahahahah...that too!!See....ukweli hamuwezi kuubeba kwahiyo inabidi tuchambue yapi tuwaambie na yapi tumezee!

both ways..
nikikuambia hiyo nguo haikupendezi
au umetoka saloon but haujatoka???
au my ex alikuwa soo mnato??
au anayaweza mauno and so an so????

bottom line
ukweli unaoumiza haufai...
bora soft lies....
 
both ways..
nikikuambia hiyo nguo haikupendezi
au umetoka saloon but haujatoka???
au my ex alikuwa soo mnato??
au anayaweza mauno and so an so????

bottom line
ukweli unaoumiza haufai...
bora soft lies....

Kama sijapendeza niambie nianze upya...
Hayo mengine nayo niambie ili nijifunze nikishindwa utafute aliye navyo badala ya kutuhesabisha namba ili upate utakacho!!
 
Kama sijapendeza niambie nianze upya...
Hayo mengine nayo niambie ili nijifunze nikishindwa utafute aliye navyo badala ya kutuhesabisha namba ili upate utakacho!!

umeona hapo?
tayari ushasema mtafute mwingine...

unajua unaweza usiwe hivi wala vile na still mtu akawa
amepagawa na wewe????
love dont ask why......
unaweza kuwa umependeza but i dont like the style...

Kama umedata basi hayo ya Ex hayatosumbua akili..ila kama unaimba kila siku Ex wangu alikua hivi Ex wangu alikua vile..mar sijui natamani ungekua na macho kama yake inabidi ukamtafute aisee.
Kuhusu kupendeza ila hujapenda mi sioni ubaya wa kuniambia....hata binafsi unaweza jikuta umependeza kweli na watu wengine wanapenda ila wewe hupendi kwahiyo unasema natafuta kile kitakachotufurahisha wote.
 
hapo hapo mamii
 
Makubwa hayaa!
 
Mh wewe ndugu, ungewekewa kujibu maswali ya kuchagua A to D then ungejibu a na d kwako nisawa, teh teh teh.
 
E e e, nimedandia kumbe si husiki sorry napita zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…