Please Darl....

Please Darl....

Hapo ni kuwa mbishi tuu, akiuliza kulikoni, ahaaa hapo nilipokuwepo ndipo walikua wanaonyesha ya Brazil an sikuwa na ratiba kumbe ilikua ni marudio !!! akishtuka Brazil walicheza jana, unapandishia ilikua WC ya 2006 !!
 
Mkiwa nyumbani wote yeye anataka kuangalia Tamthilia wakati wewe unataka kuangalia WC.

Ukitoka kwenda kwenye big screen mambo ndo hayo
 
Ajifunze kujiweka uptodate ili bwanake atoke nae...Jitu linakuwa chafu mpaka basi, halafu niende nae wapi?...nichekwe?
 
Hapo ni kuwa mbishi tuu, akiuliza kulikoni, ahaaa hapo nilipokuwepo ndipo walikua wanaonyesha ya Brazil an sikuwa na ratiba kumbe ilikua ni marudio !!! akishtuka Brazil walicheza jana, unapandishia ilikua WC ya 2006 !!

Nimependa sana hii kitu yako. Mwanamume troubleshooter lazima uwe na bongo inayocharge haraka sana na kutafuta majibu ambayo hakuna mtu angeyategemea. Kama akili yako ni bongolala basi hata biashara ya kucheat huwezi! Kwa hiyo lazima possibilities zote ziwe kichwani, replay ya 2010, 2006 au hata 1966.
 
Hapo ni kuwa mbishi tuu, akiuliza kulikoni, ahaaa hapo nilipokuwepo ndipo walikua wanaonyesha ya Brazil an sikuwa na ratiba kumbe ilikua ni marudio !!! akishtuka Brazil walicheza jana, unapandishia ilikua WC ya 2006 !!

una mbinu za kifisadi weye hahahahaha
 
Back
Top Bottom