Please dr. Msaada. Ninawashwa mwili mzima.

Magane

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
202
Reaction score
57
Yapata miezi miwili ninajikuna mno mwili mzima silali usiku nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio. Sijui ni allegy gani nimekumbwa. Please help me.
 
Kapime minyoo, hii ni kwa sababu mara nyingi ugonjwa wa kujikuna unatokana na minyoo please kamwone daktari
 
Pole sana! Kuwasha kunaweza kuwa kwa sababu zifuatazn! Infection kama scabieis,psoriasis, allergic reactions,eczema,liver problems,generalized dry skin,exposure to chemicals na nyingine nyingi! How can i easily contact you so that i can know whats the problem with you!
 
Yapata miezi miwili ninajikuna mno mwili mzima silali usiku nimejaribu dawa nyingi bila mafanikio. Sijui ni allegy gani nimekumbwa. Please help me.


Vipi maendeleo yako kwa sasa?!
 
Nimependa response yako mkuu!
 
mkuu kuna mafuta yalipikwa kwenye Mboga na kijana wangu baada ya kutumia akaanza kuwasha na akijikuna vipele vinatokea.Msaada please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…