The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Apr 18, 2020 #21 Frank Wanjiru said: Kwa hiyo waliovuka hiyo 24 ni Manungaembe? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sijasema wote nimesema wengi. Wapo wachache wanavuka lakini wachache sana
Frank Wanjiru said: Kwa hiyo waliovuka hiyo 24 ni Manungaembe? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sijasema wote nimesema wengi. Wapo wachache wanavuka lakini wachache sana
R Rasterman JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 33,894 Reaction score 44,117 Apr 19, 2020 #22 haszu said: unaweza kuelezea kidogo kwa undani hilo andiko? Click to expand... Wakati ule wafuasi 12 wa Yesu wwlikuwa wakigombania nafasi ya nani awe kiongozi awe na cheo kati yao. Yesu aliwasikia wakinong'ona nyuma yake. Ndio akawambia ya kuwa anayetaka kuwa Mkubwa kati yao sharti awe mtumishi wao soma Marko 10; 43-45
haszu said: unaweza kuelezea kidogo kwa undani hilo andiko? Click to expand... Wakati ule wafuasi 12 wa Yesu wwlikuwa wakigombania nafasi ya nani awe kiongozi awe na cheo kati yao. Yesu aliwasikia wakinong'ona nyuma yake. Ndio akawambia ya kuwa anayetaka kuwa Mkubwa kati yao sharti awe mtumishi wao soma Marko 10; 43-45