Kama kweli unataka tushinde na kubakisha kombe,kesho endelea tu na shunguli zako nyingine,tunauheshimu mchango wako ktk soka la TZ,Umetuletea makocha wazuri,unawalipa makocha vizuri,timu inakaa kambi nzuri,hongera,LIMEBAKI MOJA TU,USIJE UWANJANI KESHO,ILI TUBAKISHE KOMBE.Huo utakua msaada mubwa saana.
Kwahiyo washkaji mnataka kusema akienda Dr. Wilbroad Slaa ndio tutashinda?
Sheikh Yahaya je?