Jamanni nimerudi tena na matatizo yangu,, hili janaume linataka roho yangu sasa (kwanza badilika kwani tayari umeshaonyesha ni kiasi gani unamdharau mumeo ambaye unatakiwa uwe mstari wa mbele kumheshimu/ kuheshimiana nae), coz anafika mbali mpaka wageni na ndugu zangu sasa anawatongoza..me nimefika mwisho, nishaurini tena,, nafikiria kuachana nae ( unafikiria wewe kama wewe .. je umehusisha wasimamizi wenu katika suala hili?? je huwa mnakaa na mmeo kujadili do and dont's)lakini nitaanzia wapi maisha na ukiangalia nasimamia biashara zetu . lakini sasa natafuta jinsi ya kuishi nae katika hii situation. Umalaya wke nimeushuhudia sana na hata nikimkamata na sms or emails, hajali anazikana na ushahidi ukiwa wazi anasema sielew usemacho( kumkamata na sms, email etc .. si kithibitisho isipokuwa unatakiwa uelewe ni jinsi gani ya kuongea na mwenzako uone hivyo vitu vinakukera) , naweza kumfanyia uhuni wa mwaka( huo uhuni unadhani ndo utakaokusaidia kumfanya mumeo atulie au ndo inaweza kukuza tatizo???) lakini nikifikiria tulipotoka namuhurumia coz tumefight sana mpaka hapa tulipo nitakuwa pia nimemwaribia future zake.(wote kiujumla mtakuwa mmeumizana na kuhalibiana mambo yajayo ... mtabaki na kovu la mahusiano au ndoa yenu))

Hapa jirani na nyumbani kuna kaka mmoja ambae kwa jinsi alivyonieleza familia yake ipo mkoa mwingine ( tayari mawazo yako yamekupeleka kuzidi kuharibu ndoa yako kwa kutoka nje ili kuweza kutimiza tamaa ya mwili ya muda mfupi). Yeye yupo huku kikazi ana kama mwaka mmoja,kiukweli huyu kaka anaonyesha kunijali sana japo hajanitamkia chochote ( hapo ulipo unalalamika kwa kutendwa na mumeo kwa nini unataka na wewe kumtenda mwanamke mwenzio kwa kumchukulia mmewe .. je utakuwa unajenga au kubomoa???) ila anaonyesha kunijali coz mara nyingi ananialika lunch sometimes outing na zawadi (je kwako tatizo ni lunch na zawadi.. kwa nini usitoke na mmeo hata kwa kidogo ulichonacho???). lakini hajanitamkia lolote na wala mimi sijamweleza matatizo niliyonayo kwenye ndoa yangu.

Wanawake wenzangu nishaurini nijiingize katika mahusiano na huyu kaka tupeane kampany ( kwa nini ujiingize kwa mme wa mtu kama wa kwako unashindwa kumhandle??) ili maisha yangu ya ndoa yaendelee (hayo hayatakuwa maisha ya ndoa .. yatakuwa maisha ya uzinz) niwe na mtu wakumfikiria niachane na kumfatilia huyu baba au nifanyeje ili nihandle --- hii life style?? Coz mume ndo hivyo kawa fataki, siwezi kumbadilisha hata kidogo.leo asubuhi kanishusha bara barani nikatembea kwa mguu mpaka kazini kisa naongea na simu na mama yangu mdogo hataki niongee na ndugu zangu wala niwe na marafiki.