Please naomba kueleweshwa

Please naomba kueleweshwa

Mp4real

Senior Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
141
Reaction score
147
Eti course inayohusiana na mambo ya gas inaitwaje? na inapatikana katika kiwango kip na vyuo vipi?

Naamini mtanisaidia hapo asanteni.
 
nimepita lakin nmeshindwa kuelewa ni ipi,cm nayo inauwezo mdogo pia
 
gas course ha ha hamuna bwana ni mining engineering halafu kitengo cha gas
 
Back
Top Bottom