Mp4real Senior Member Joined Oct 20, 2013 Posts 141 Reaction score 147 May 5, 2014 #1 Eti course inayohusiana na mambo ya gas inaitwaje? na inapatikana katika kiwango kip na vyuo vipi? Naamini mtanisaidia hapo asanteni.
Eti course inayohusiana na mambo ya gas inaitwaje? na inapatikana katika kiwango kip na vyuo vipi? Naamini mtanisaidia hapo asanteni.
Mp4real Senior Member Joined Oct 20, 2013 Posts 141 Reaction score 147 May 5, 2014 Thread starter #3 nimepita lakin nmeshindwa kuelewa ni ipi,cm nayo inauwezo mdogo pia
Mkudisingo JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 421 Reaction score 122 May 7, 2014 #4 gas course ha ha hamuna bwana ni mining engineering halafu kitengo cha gas