B Bryann01 Member Joined Jul 2, 2014 Posts 35 Reaction score 3 Jul 20, 2014 #1 Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani unakuwa kwa kuchukua hiyo kombi.
Nilikuwa nasomea Science kwa kombi ya PGM, but wizara imenipanga kwa kombi ya HGL. naombeni kujua ni kazi nzuri gani zinazopatikana kwenye hiyo kombi coz sikuwahi kufikiria ni mtu wa aina gani unakuwa kwa kuchukua hiyo kombi.
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,551 Reaction score 4,454 Jul 20, 2014 #2 Kapige kwanza kitabu dogo! Nchi hii kazi nzuri na inayolipa ni siasa tu. Ndo maana watu wametelekeza profesional zao wamejazana kwenye siasa.
Kapige kwanza kitabu dogo! Nchi hii kazi nzuri na inayolipa ni siasa tu. Ndo maana watu wametelekeza profesional zao wamejazana kwenye siasa.
B Bryann01 Member Joined Jul 2, 2014 Posts 35 Reaction score 3 Jul 20, 2014 Thread starter #4 Fiati said: Kapige kwanza kitabu dogo!Nchi hii kazi nzuri na inayolipa ni siasa tu.Ndo maana watu wametelekeza profesional zao wamejazana kwenye siasa. Click to expand... kaka ahsante sana
Fiati said: Kapige kwanza kitabu dogo!Nchi hii kazi nzuri na inayolipa ni siasa tu.Ndo maana watu wametelekeza profesional zao wamejazana kwenye siasa. Click to expand... kaka ahsante sana
reynod JF-Expert Member Joined Apr 17, 2013 Posts 386 Reaction score 373 Jul 20, 2014 #5 MADESI said: ualimu Click to expand... ushauri mzuri sana.