please, naomba msaada mwenye ufahamu juu ya namna ya kupiga sim za mezani

please, naomba msaada mwenye ufahamu juu ya namna ya kupiga sim za mezani

Chibwende

Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
17
Reaction score
5
naombeni msaada kwa anayefahamu kwa sababu nimekuwa nikipiga sim kuongea na mkuu wa chuo nilichoomba lakini kwa line yangu ya tigo wananiambia kuwa niangalie vizuri number yangu kisha nipige tena. nimejaribu kwa muda mrefu sana bila mafanikio. please naomba msaada wa haraka kwa anayefaham juu hili jambo la muhimu sana katika maisha yangu.
nipo Bagamoyo na napiga sim kwenda Arusha (IAA)
 
Back
Top Bottom