Please naombeni msaada wenu wakuu!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Ni hivi sasa hivi nipo mbioni kuja Dar es salaam, pia nitakaa kama mwezi mmoja hv, sasa wasiwasi wangu ni kwamba ni mitaa gani nitakuwa napata chakula (vyakula kama vya huku mikoani)maana naogopa sana kula vyakula wanavyokula wanaume wa Dar!

Kuhusu bei ya mwendokasi sio tatizo maana nimeshazoea kutembea km 50 kwa siku kwahiyo sitahitaji kupanda daladala, sema wasiwasi wangu ni kuhusu misosi tu nisije nikawa kama wanaume wa Dar,please msaada wenu ni wa muhimu sana kunijuza ni pande zipi nitapata chakula cha ukweli
 
Mkuu kula mlo Chalinze au Ruvu, ukimaliza shughuli zako za siku wahi urudi huko.
Hapa Dar , ulivyo mshamba utalishwa vibudu vya mafuriko ya juzi.
hahahaha vibudu vya nyama ya kuku,miguu ya kuku na. vichwa vya kuku lazima alishwe huyu na mapanki pamoja na mishkaki ya 300 hahaha!!...Dar raha sana!
 
Hahahaa jamaa unautani sanaa... Yupo jamaa naye aliniuliza hv kwann wanaume WA dar na watu wengine wanapenda sana kupanda daladala?? Akauliza ni uvivu ama mbon wao wanatembea kwa miguu ama baiskeli ku reduce cost?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wa mikoani mna mambo sanaa
 
Mkuu ww nenda mkuranga huo ndani ndani au kibiti , dar utalishwa samaki za kwenye uzio za week 4 zimekula pumba +plus kuku mazezeta na viazi vya kukakata tulizo kuwa tunakula wanafunzi primary na barafu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…