Mkuu umefanya vizuri kuuliza kabla mabo hayajawa ndivyosivyo. Ushauri wangu, so far unajua pango unalipa bei gani kwa mwezi/mwaka, pia unajua hizo computer unazinunua kwa bei gani, pia unajua ushuru na kodi unazolipa, kama unavijana wa kazi unajua unawalipa kiasi gani, kwa maauzo ya miezi miwili at least umepata flavour ya soko la bidhaa zako, zaidi unajua unataka ujilipe bei gani, Mwisho unajua gharama ya mtaji wako, kama ulikopa basi ni mkopo pamoja na riba, kama ni saving zako basi ni sharecapital hakuna riba.
Fungua Excel spreadsheed kwenye computer yako fanya a simple financial analysis ya biashara yako ukispread cost and revenues kwa miezi 12 ya mwaka wa kwanza then tumia hiyo kama base kuproject for the next 5 or 10 years hivi. Unaweza kudiscount cashflow zako at preveiling lending rates then calculate Internal rate of return (IRR), Net present value (NPV). Kama IRR utakayoipata ipo over and above hiyo discount rate utakayokuwa umeitumia basi hutapata hasara. Lakini pia jaribu kufanya sensitivity (if senario) mfano assume sales zitashuka by say 10% uone hizo indicator zinabehave vipi. Mwisho unaweza kucalculate Benefit cost Ration (BCR) a measure of value for money. Indicator hii itakuonyesha kama unauza cheap or expensive. Normally kama indicator za mwanzo zipo fine BCR itakuwa greater than 1. Ukipata number kubwa sana means unauza so expensive and so your getting super frofit, nearly 1 means your selling so cheap ans so getting marginal profit and a moderate figure means your on track (welfare price).
All the best man