Please sir, your ego is not your amigo!

Huyu bwege database tu ya kujua say shule ngapi zina matundu mangapi ya vyoo hana ila eti anataka aanzishe database ya wanaume waliooa. Hajui kwamba kuna wengine dini zimewaruhusu kuoa na kudivorce in a matter of days?
 
Hahaha yani maana yake, ukimtokea demu ana Google jina lako faster kabla hajakupa mzigo.
Biashara ya kuuza papuchi ilishindikana kutoweka, sasa hiyo database itakuwa na maana gani, itakuwa ni ajabu binti pale kona bar ahangaike ku Google jina la mteja wake wakati yeye ahitaji mahusiano ya kudumu, yeye anahitaji pesa.
Kuna kichekesho nilikiona, kwamba takwimu duniani zinaonyesha idadi ya wanawake ni mara mbili zaidi ya wanaume, lakini cha kushangaza kila mwanamke anadai kuwa na mtu wake peke yake.
 

Hivi jiji la Dar lina hata tovuti yake?
 
Bashi Boy hata akisoma naamini atatoka kapa.

Sitashangaa akidhani kuwa nimemsifia teh teh teh.
umempasulia yai la "kinyamwenga" sana. hawezi elewa hata mstari mmoja.

hivi ulishawahi kuona caption zake za kiswahili kule instagram zilivyojaa makosa ya kisarufi?. kuna wakati huwa nahisi pengine kule chuo cha ushirika na biashara moshi alikuwa anasomea ujinga.
 
Hivi jiji la Dar lina hata tovuti yake?
Na uhakika manispaa ya kinondoni inayo, Ila ni page tu haina huduma yoyote, yani huwezi kujaza form au ku print form yoyote kutoka hiyo page. Yani typical Tanzanian websites.

Huyu sijui hata kama hata yeye anaelewa anachokiongelea. Ninavyo hisi haelewi kwamba RITA wana record ndoa zote nchini wahusika wakipeleka vyeti, iwe ya ki dini au zile za serikali. Lakini zaidi yao wahusika hakuna mtu anaweza ku access hiyo page ya RITA kuhakiki ndoa ya mtu yeyote.

Hivyo anachokiongelea kipo tayari, lakini hakina maana kwa wananchi.

Watanzania majina yetu yanafanana, na hatuna kitu cha kututofautisha, unaweza kuta kina NANYE GO tuko 10, nchini au kina Rashid Abdallah wako 100 unajuaje yupi ni yupi?!

Kile kichwa kinashida.
 
Jamani chagueni na lugha za kutumia kufikisha ujumbe kwa watukufu wa awamu hi..
Hapa hata wale wafuasi na washauri wao hawajaambulia chochote!
Tunakienzi Kiswahili!
 
Jamani chagueni na lugha za kutumia kufikisha ujumbe kwa watukufu wa awamu hi..
Hapa hata wale wafuasi na washauri wao hawajaambulia chochote!
Tunakienzi Kiswahili!

Kwani Bashi Boy ana elimu gani?
 

Hatimaye nimeipata hiyo tovuti ya mkoa wa Dar.

Sasa ngoja niipitie nione yaliyomo.

Tovuti yenyewe hii hapa http://www.dsm.go.tz/
 
Hongera kuipata, lakini iki kama personal blog, naona taarifa ni za makonda zaidi na tekelezaji wa ilani ya ccm.
Typical bongo websites kama nilivyosema, kajaza mambo yake.

Impression ya haraka haraka, ni kweli, kama ulivyosema.

Typical bongo website!

Mfano, kuna sehemu ya kuchagua lugha: Kiingereza na Kiswahili.

Ukichagua Kiingereza, baadhi ya vichwa ni vya Kiingereza. Lakini ukivibofya, habari nzima ipo kwa Kiswahili!!
 
Vita vya Mangosha, hayatuhusu.
 
Kwani Bashi Boy ana elimu gani?
Ukiwa shuleni primary unaambiwa soma sana ufaulu la 7 uende sekondari o-level...
Ukiwa o-level unaambiwa kazana kusoma ufanikiwe kufika a-level...
Ukiwa a-level unaambiwa ongeza bidii zaidi ufaulu ufike chuo kikuu...
Ukiwa chuo kikuu bachelor degree unaambiwa kazana sana upate GPA za juu sana juu ya 5...
Punde unagundua first degree si kitu unaambiwa ukazane upate Masters ya GPA za juu zaidi...
Baada ya Masters unagundua bado kuna PhD kali...
Ukimaliza PhD unagundua ili uwe mteuliwa na mtawala mwenye nguvu unahitaji tu kujua "Kusoma, Kuongea, Kuhesabu na Kuandika"...
Kwa viwango gani? Vigezo anavyo mteuzi!!
Life is so unfair!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…