Please ushauri wa kisheria ......

ally linje

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
222
Reaction score
50
Kuna kijana anaishi na mama yake temeke so,mama na baba yake walichana miaka mitano iliyopita sasa huyu kijana toka wazazi wake waachane hakuna malezi anayoyapata kutoka kwa baba mpaka kufiki sasa,
but yote kwake kayaona ni ya kawaida hla kinachomuumiza zaidi ni kukosa pesa ya kulipia college now ni mwaka wa 2 so anaitaji ushauri wa kisheria maana baba yake anaahadi za uongo.please anaitaji msaada
 

Mwambie amtafute mbunge wa Temeke amsaidie kuwaona wahusika wa social services wizarani ili asaidiwe kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…