Please vote for Millard Ayo (Mtu wetu wa nguvu), Tuzo za watu 2015

Please vote for Millard Ayo (Mtu wetu wa nguvu), Tuzo za watu 2015

Bettylisa

Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
29
Reaction score
3
Jinsi ya kumpigia kura Millard Ayo:

1)Mtangazaji wa radio anayependwa:TZW1E kwenda 15678.

2) Kipindi cha radio (Amplifaya): TZW2B kwenda 15678 na,

3) Website inayopendwa (millardayo.com): TZW5D kwenda 15678.
 
Nimeshampigia leo kwa kitumia website yao hao tuzo za watu.
 
Kwa kutumia website ni:
http://tuzozetu.com/vote/

Kijana mchapakazi sana yaani, anastahili support yetu watu wake wa nguvu#Pamojanayedamdammilel

Embu kuwa specific hapo kwenye kuchapa kazi, anachapa kazi gani? Maana Jokate Na Vanesa Mdee wote wamepita salama mikononi mwake bila kuguswa 🙊🏃

Ila Nimesha mpigia kura, hahahaaaa
 
Hahaaa, kazi zake za kutuhabarisha mambo mbalimbali yanayotokea duniani kupitia website, social networks zake, AyoTv na kipindi chake cha radio (Amplifaya)...huko kwingine sasaa, simooooo.
 
Embu kuwa specific hapo kwenye kuchapa kazi, anachapa kazi gani? Maana Jokate Na Vanesa Mdee wote wamepita salama mikononi mwake bila kuguswa 🙊🏃

Ila Nimesha mpigia kura, hahahaaaa

Haaa!!!!!..Mweee!!!! Yaniiii??...Sijaelewaaa...Kuwa Makin em na wewe fafanua??...Kwa sababu ata kwenye Daladala Barabaran Popote pale Penye Watu Especially High Population watu n lazma wagusane Sasa sijakupata Fresh Mkuu...Fafananua fisur sasa.



Nawasilisha..
 
Back
Top Bottom