Mi naishi mwanza Kazini kwangu ni umbali wa km Toka ninapokaa 16 ,kwenda ....barabara ni ya vumbi ila iko poa !! , Nikwaajili ya kwendea kazini na kuridi bac...siku za mvua kama kubwa nitakuwa naenda tu na piki piki aina ya boxer ninayoUnsishi maeneo ya wapi? Namaanisha gari ya chini au ya juu itahitajika? Kuna utelezi siku za mvua kuhitaji gari ya 4wheel drive?
Umbali wa kazini na kwako ukoje ili kujua gharama za mafuta kama zirakua rafiki.
Sijuo kwa vigezo vyako lakini hapo hiyo Alex itakupa uzoefu wa magari ili baadae ufanye maamuzi ya kuchagua kulingana na uzoefu wako.
Hapa sijakuelewa kidogo,yaani kwenye mvua unasepa na tukutuku kwenye jua unasepa na gari?Mi naishi mwanza Kazini kwangu ni umbali wa km Toka ninapokaa 16 ,kwenda ....barabara ni ya vumbi ila iko poa !! , Nikwaajili ya kwendea kazini na kuridi bac...siku za mvua kama kubwa nitakuwa naenda tu na piki piki aina ya boxer ninayo
[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya wasukuma hayoHapa sijakuelewa kidogo,yaani kwenye mvua unasepa na tukutuku kwenye jua unasepa na gari?
😂 😂[emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya wasukuma hayo
Ndio kipindi cha kiangazi ndio napenda sana kuendesha gari ila masika kwa kule ninakofanyia kazi sio rafiki kwa gari inanilazimu nitumie piki piki ninayo .....!!Hapa sijakuelewa kidogo,yaani kwenye mvua unasepa na tukutuku kwenye jua unasepa na gari?
Kuna boss wangu anayo ni kali Brevis ...ananiambia nimpe milion 5;aniachie ila mafuta sasa !! Ndio itaniua kabisa !! Ndio maana nimeomba ushauri mnishauri nijue nachukua gari ....mwezi nataka nikamilisheDon tach brevis.
Utaleta uzi humu wa kuuza laki 5.
Utapata ushauri mzuri kama ungeeleza ulipo na unapofanyia kazi.Pleese naombeni ushauri kati ya hizi gari ipi ambayo inaweza kunifaa kwendea kazini na kurudi , utumiaji wake wa mafuta uwe mdogo
1.brevis
2.toyota Alex
3.Altezz
4.Verosa
Nafikiria kununua na si mwenyeji sana katika hilo..ili ninapofanya maamuzi nisijutie kipato changu cha kawaida