Pleez wataalamu nisaidieni

Pleez wataalamu nisaidieni

Andrew Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
330
Reaction score
117
Nashukuru kwa ushauri wenu. Nina tatizo la kuwashwa sehemu ya haja kubwa na ukikuna panakuwa na maumivu. Je tatizo ni nin? Plz
 
wew ni me au ke? Samahani natumia simu ya tochi...
 
Nashukuru kwa ushauri wenu. Nina tatizo la kuwashwa sehemu ya haja kubwa na ukikuna panakuwa na maumivu. Je tatizo ni nin? Plz
inawezekana unaminyoo aina ya Trichura Trichuris, wanatabia ya kutaka mayai sehemu ya haja kubwa wakati umelala na kuwasha ili ujikune mayai yakae katika vidole na usiponawa na kuweka vidole mdome basi mayai yale huingia tumboni na kuzaliana tena.kuwaona kwa hadubini ni vigumu, mpaka uwekewe solatape hapo haja kubwa ili wanapotoka wanase na ndio upelekee maabara kwa uchunguzi. tumia mebendazole.
images
 
Back
Top Bottom