Pliz pliz nisaidieni..

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa. Kiumri kanizidi miaka 2.

Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.

Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.

Ni zaid ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam'refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.

Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako. Na amegoma kabisa kubadilika.
 
We Mbumbumbu kweli.....unasubiri nini hapo?? Ahh
 
Ndugu mpaka hapo tayar inaonekana ameshazama ktk penz na mtu mwingine, na inaonekana pia ni vigum sana kwa yeye kurud tena kwako hasa ukizingatia kwamba unaish mbali naye, tafakari amua mwenyewe.
 
Dah pole aiseee!!!Presha mpaka kuzimia??Hiyo sio nzuri kwako.....kama hamna maelewano wala muelekeo wa yeye kubadilika ni bora uchukue hatua!Mueleze alivyobadilika uulize na sababu....mwambie inavyokuathiri na umpe msimamo wako kwamba kisipoeleweka utamuacha!Kama hatokueleza kinachoeleweka katafute bahati yako sehemu nyingine......usije ukafa kwa presha bure!!!
 
We tambaa kakupa fursa kuendelea kufanya searching
 
Huwezi kuforce upendo ndugu yangu, hapo unachofanya ni kudelay the inevitable..... dont waste your time wewe endelea na shughuli zako kama kweli anakupenda basi atakutafuta.... kuna mambo huwa hayalazimishwi, and sad enough love is one of them.... shukuru Mungu alikusaidia wakati wewe unashida mshukuru kwa hilo and thank God you have a really friend, although she might not be your lover.
 
Ndugu yangu maradhi yote haya,au haujaona watu wanavyoharisha nini,shauri yako!!!
 
pole sana mbumbumbu,,,huyo dada si mkweli kwako,,,chukua hatua
 

Mnaambiwa oweni, msifanye zinaaa hamtaki!
 
Tena kama bado upo kwake panda basi la kwanza na kwenda huko kwako maana kinachoendelea utakuja kujuata hapo aidha kukuta mtu hapo Ndani ya nyumba anataulo tu.

Anashindwa kukwambia tu mwalimu huyo!
 
mwayego usmwache...subirisubiri kwanza vidume wenzio wampe mimba ndio umwache...yaani we unashindwa kusoma arama za nyakati...
 
Huyo nahisi anataka kukuletea magonjwa tu..sasa na wewe nini si usepe ah..au jaribu tigo anaweza kukaa sawa!
 
Huyo nahisi anataka kukuletea magonjwa tu..sasa na wewe nini si usepe ah..au jaribu tigo anaweza kukaa sawa!


mmmhhh hivi kweli...

haya Heri ya mwaka mpya....
 
Huyo nahisi anataka kukuletea magonjwa tu..sasa na wewe nini si usepe ah..au jaribu tigo anaweza kukaa sawa!

Nina wasiwasi na jina lako ndo sababu ya kukawia kuchukua maamuzi! Huamini stil picture yaani unataka hadi video kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…