PLO; Kenya sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya Kikabila

PLO; Kenya sio nchi ya kidemokrasia, ni nchi ya Kikabila

Kenya ukabila unanuka. Unanuka

Yani unaweza kukutana na msomi ukajua huyu ameelimika lkn linapokuja swala la ujaruo na ukamba anaweza kukumeza. Nikifikia hapo ndipo ninapomuheshimu Nyerere
 
Katiba ipi hiyo wanafuata? In the last 10 years attempts ngapi zimefanyika kuibadili ili ku-suit ajenda binafsi za kiukabila?

Kabisa na ndiyo maana harakati zote za BBI zilikataliwa katika ngazi zote za Mahakama za Juu za Kenya. Ngoja tumpe source :

BBI is dead and buried :

https://www.the-star.co.ke › news
BBI is dead! Supreme Court judges affirm - The Star

31 Mar 2022 — The Supreme Court ruled that the BBI is unconstitutional. ... In order to amend the Constitution of Kenya 2010, the four...


Supreme Court judge Philomena Mwilu, Chief Justice Martha Koome, Supreme Court judges Mohamed Ibrahim and Njoki Ndung'u during the BBI appeals hearing at the supreme court on January 18, 2022
Supreme Court judge Philomena Mwilu, Chief Justice Martha Koome, Supreme Court judges Mohamed Ibrahim and Njoki Ndung'u during the BBI appeals hearing at the supreme court on January 18, 2022
Image: EZEKIEL AMING'A
The Building bridges Initiatives has flopped after the Supreme Court judges ruled against it.
The ruling was made on Thursday by the Seven-judge bench.
Supreme Court ruled that the BBI Amendment Bill was unconstitutional.
 
Siasa ya Kenya hainaga rafiki huyu na yule huyo na huyu 2017 Uhuru na Ruto upande mmoja kupitia jubilee upande mwingine NASA Raila,Kalonzo, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi.....Then.......Now Ruto Musalia Mudavadi na Moses Wetangula UDA upande mwingine Uhuru, Raila Kalonzo upande mmoja
 
Siasa ya Kenya hainaga rafiki huyu na yule huyo na huyu 2017 Uhuru na Ruto upande mmoja kupitia jubilee upande mwingine NASA Raila,Kalonzo, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi.....Then.......Now Ruto Musalia Mudavadi na Moses Wetangula UDA upande mwingine Uhuru, Raila Kalonzo upande mmoja

Kenya hakuna vyama vya siasa vya kweli vyenye itikadi bali kuna makundi ya kijamii ya mrengo wa kikabila kila muda wa uchaguzi ukifika hujikusanya na kufikiria namna ya kukanyagana kufika Ikulu kwa kupitia makundi ya kikabila ya kibunge yatakayombeba mkabila mwenzao mpaka Ikulu .


Mfano ni BBI (beba baba Ikulu)*Baba Raila ikatafutiwa maneno ya kiingereza kuwahadaa wananchi kuwa ni Building Bridges Initiatives kupitia siasa za kusalimiana-kwa-mikono yaani handshake



Viongozi wa kikabila hujivika joho la uanasiasa feki na ndiyo maana hawana hoja za nini wataifanyia Kenya kama taifa bali wataishia kushindana kufanya fetè, carnival na kucheza ngoma za kienyeji kwa kuwa hawana kitu cha kunadi kama itikadi, manifesto na ahadi kwa wananch wa kawaida kina mama wauza mboga za sukuma-wiki almarufu kina "wanjiku" yaani mama-ntilie wawakilishi wa waKenya wa kawaida wanaotafu maisha yao yawe bora kuuza mitumba soko la Gikoma, kuchuma majani ya chai ktk mashamba kule Limuru au Nyanza na Pwani kufanya uvuvi wa samaki ili kuendesha maisha yao ya kila siku.




Kenya hakuna wanachama au wapenzi au raia wa kawaida wanaounganishwa kwa pamoja kama waKenya kupitia itikadi, maono au sera kuwa wanavutiwa na chama gani cha kisiasa kilichodumu zaidi ya miaka mitano ya uhai wake wa kisiasa maana vyama hivyo hakuna.
 
Halafu wakenya huwa wanajiona wameendelea kisiasa kwa kivuli cha Demokrasia kumbe kiuhalisia bado wako karne ya 17, bado wanawaza na kuimba ukabila tu.

Karne ya 21, unawezaje kuzungumzia ukabila kwa ufahari na kujivunia?
 
Mtego wa Raila katika Azimio


Mtego Wa Raila Katika Azimio

Soma zaidi kwa hisani kubwa ya source : Mtego wa Raila katika Azimio – Taifa Leo
 
Ujanja wa Ruto kuruka Mudavadi, Wetangula


Ujanja Wa Ruto Kuruka Mudavadi, Wetangula

NA CHARLES WASONGA

NAIBU Rais William Ruto anaonekana kukwepa masharti magumu ya kuundwa kwa vyama vya miungano chini ya sheria mpya ya vyama vya kisiasa hatua inayoweza kuwaacha pabaya washirika wake.

Chama chake, United Democratic Alliance (UDA) kimefichua kuwa kinapania kuunda muungano wa kawaida wala sio chama cha muungano wanavyofanya wapinzani wao katika muungano wa Azimio la Umoja One Kenya .... soma zaidi kwa hisani kubwa : Source : Ujanja wa Ruto kuruka Mudavadi, Wetangula – Taifa Leo
 
28 September 2021

A failed attempt to overhaul Kenya’s progressive constitution less than a year before elections illustrates continuing struggles between the rule of law and the crude tribal instincts of Kenya’s political elite


A woman lawyer holds a placard with the word Obey the law



Law Society of Kenya official Mercy Wambua holds a placard at the Supreme Court in Nairobi after a protest over government disobedience of court orders. Yasuyoshi Chiba/AFP via Getty Images
 
nashangazwa na kenya yan nchi inawasomi wengi ila ukabila ndio umetawala vichwa vyao
 
Back
Top Bottom