Mbona Yule chairman wa IEBC aliomba ulinzi hakupenda, majaji waliotoa maamuzi je wanalindwa? Ha haa eti Baba wa demokrasia.
Alafu huyu jamaa hapo juu ni kupayuka kama kasukuJamaa ametishiwa na wafuasi wa NASA huko Bondo kwa kina Raila afu mnasema ni U.Kenyatta? Acheni bana hiyo ndo tabia ya NASA, kama kawa! Walimtishia Chebukati, Miguna Miguna pia alimgusa malaika wao, na alikipata! Ivo ndo baba yao anavowafunza! Kang'ura, Uhuru Kenyatta tano, tena na tena!
Jamaa ametishiwa na wafuasi wa NASA huko Bondo kwa kina Raila afu mnasema ni U.Kenyatta? Acheni bana hiyo ndo tabia ya NASA, kama kawa! Walimtishia Chebukati, Miguna Miguna pia alimgusa malaika wao, na alikipata! Ivo ndo baba yao anavowafunza! Kang'ura, Uhuru Kenyatta tano, tena na tena!
Hao wengine hawajatishiwa kama Msando?Jamaa ametishiwa na wafuasi wa NASA huko Bondo kwa kina Raila afu mnasema ni U.Kenyatta? Acheni bana hiyo ndo tabia ya NASA, kama kawa! Walimtishia Chebukati, Miguna Miguna pia alimgusa malaika wao, na alikipata! Ivo ndo baba yao anavowafunza! Kang'ura, Uhuru Kenyatta tano, tena na tena!
Msando alitishiwa na nani? We endelea kusoma gazeti za udaku!
Mliua nani mkiwa pamoja na Uhuru Kenyatta? Hizo propaganda za NASA tumezizoea! Jiulize wao wanajua aje nani ameuliwa na nani hadi Nkaiserry wakasema sijui ameuliwa na serikali wakati yeye ndo alikuwa serikali! Ukifata ya hawa jamaa utakuwa zero kwa akili!Kenyatta's is a killer now Uhuru Kenyatta he's taking the same path!
But, this time around he won't make it again.
Now its for RAO and NASA.