Eck fulani
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 458
- 597
HATI IPO MKUUKina hati mkuu?
Square metres ngapi mkuu?HATI IPO MKUU
ni mita za mraba 450 yaan uref m30 na upn m15 .Square metres ngapi mkuu?
Masasi hapashikiki kwa biashara kwa sasa mi mwenyewe nimepashangaa baada ya kutoka muda mrefu sana..viwanja vyako vpo maeneo gani mkuu??Nilishanunua viwanja viwili pale masasi nikiwa huko... Daah.. Sijui vipo,.. Maana siku nyingi zimepita. Mji wa biashara Masasi.