tutajie bei unayoanzia kabla hatujachoma mafuta kuja kuiangalia mkuu?
Thanks Brooklyn. Kwa faida yako na wengine bei inaanzia 25m. Narudia kuwakaribisha, karibuni sana wakulu.
Wabongo bwana... eti bei inaanzia 25M.. sasa inaishia wapi..??
Na inategemea na nini.. mtu amekuja vipi au..?? mtu akija na suti na tai ndio 25M au??