mangana mkurya
Member
- Sep 15, 2015
- 93
- 10
good luckPlot for sale at Kariakoo market
Size: 250sqm
Price:$700,000/=dollar
Commission for agent is 5%
Title and all document are available.
Call 0676019019 for view.
Ha ha ha!! kijana unashangaa pesa kidogo hivyo, kumbuka hiyo ni kariakoo tena ni soko la kimataifa so mzunguko wa pesa ni mkubwa sana. Hapo hata uuze majani ya kulishia ng'ombe yatanunuliwa tu.Mkuu wenye hela chafu wamekimbiza fedha zao!!
Sio rahisi kupata hiyo fedha tena eti kwa dola !!
Hio ni bei ya nyumba marekani au ulaya.
Hebu google house for sale in New York uone na hii kariakoo yako!!
mkuu unajua bei za viwanja kariakoo, masaki, oysterbay!!Mkuu wenye hela chafu wamekimbiza fedha zao!!
Sio rahisi kupata hiyo fedha tena eti kwa dola !!
Hio ni bei ya nyumba marekani au ulaya.
Hebu google house for sale in New York uone na hii kariakoo yako!!