DalaliMsumiKigamboni
Senior Member
- Apr 12, 2015
- 155
- 109
mkuu, amesema ni ekaeri 4 kasoro.Bei mbona kali sana.Kwa kigamboni square meter moja imefika milion 4 dah ama mm sijaelewa hebu tupe maelezo vyema
Sawa si ziko square meter 15000 ila sasa bei yake mbona iko juu hata kumweleza mwekezaje anaona km unataniamkuu, amesema ni ekaeri 4 kasoro.
Eneo la vijibweni kwa sasa ni eneo la fursa kwa uwekezaji hiyo hela ni sahihi.Sawa si ziko square meter 15000 ila sasa bei yake mbona iko juu hata kumweleza mwekezaje anaona km unatania
Sawa na squaremeter 1 kwa laki 3Sawa si ziko square meter 15000 ila sasa bei yake mbona iko juu hata kumweleza mwekezaje anaona km unatania
Shukran Sana mkuuhongera mkuu. wenzako wanawekaga masharti ya kipumbavu. Eti kukagua ada elfu ishirini