Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.Ndio mkuu
Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.
Wewe hujui kuwa hujui.Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.
Kimbiji kupo poa zaidi, karibu na beach.Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.
35km kutoka ferry kuna ukaribu gani?Kimbiji kupo poa zaidi, karibu na beach.
Lete sababu kwanini mtu anatakiwa kununu kiwanja cheny 520SM na 35km kutoka ferry au 37km kutoka city center na si Kiluvya? Ambako nako ni kama 32km from city center kwa bei ya chini?Mara ingine kama huna ufahamu wa kitu ni vyema ukauliza, usipende kutoa majibu ovyo sio vzr
Kwani we unaishi mji gani?35km kutoka ferry kuna ukaribu gani?
Karibu na Beach, pia ni strategic industrial area (upcoming) pamoja na Gezaulole.Lete sababu kwanini mtu anatakiwa kununu kiwanja cheny 520SM na 35km kutoka ferry au 37km kutoka city center na si Kiluvya? Ambako nako ni kama 32km from city center kwa bei ya chini?
35km kutoka ferry kuna ukaribu gani?
Siwezi kwenda kukaa 37km away from City Center kisa kufata bahari! Umefungua bandari pia hapo?Ndio mana ukaambiwa hujui kama hujui, plot yangu na beach ina umbali wa nusu km
kasema ni kiwanja chake mwenyewe, hamnunui ila mnataka kumpangia bei😎Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.
City center huwa unaenda kufanya nini?Siwezi kwenda kukaa 37km away from City Center kisa kufata bahari! Umefungua bandari pia hapo?
Yaani unaongea kama mgeni wa Dar es salaam!!!Lete sababu kwanini mtu anatakiwa kununu kiwanja cheny 520SM na 35km kutoka ferry au 37km kutoka city center na si Kiluvya? Ambako nako ni kama 32km from city center kwa bei ya chini?
Morogoro road ina 8 roads Jam inatoka wapi? Ulikuja Dar lini mzee?? Mambo yamebadilikaYaani unaongea kama mgeni wa Dar es salaam!!!
Kama hoja ni city center, na kama Kiluvya to city center ni around 32km, hivi una habari kutokana na jam ya Morogoro Rd mtu wa Kimbiji a Kiluvya wakitoka wakati mmoja, yule wa Kimbiji ananaweza kuwahi kufika City Center mapema zaidi kabla ya yule wa Kiluvya?
Unahesabu na Mwendokasi, au?! Assumption niliyoweka ni mtu una usafiri wako mwenyewe, kwahiyo unatakiwa kutumia general traffic lanes!Morogoro road ina 8 roads Jam inatoka wapi? Ulikuja Dar lini mzee?? Mambo yamebadilika
Mi najizungumzia mwenyewe na Landcruiser Prado yangu TR150-Unahesabu na Mwendokasi, au?! Assumption niliyoweka ni mtu una usafiri wako mwenyewe, kwahiyo unatakiwa kutumia general traffic lanes!