Hela chafu zimeharibu kabisa hii nchi ...Hizi hela unaenda Newyork nchi tajiri kama ile unanunua nyumba na unabakiza zingine nyingi elewa sio kiwanja unanunua nyumba kabisa tena hapo Manhattan down town unyamani...Ukienda sasa Dubai unanunua nyumba hata 4 unabakiza zingine sasa nchi kama Tanganyika ambayo haina hata barabra wala maji ya uhakika ni majanga matupu unaambiwa kiwanja dola laki 8!!