Plot4Sale Plot for Sale Bunju Mingoi

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,287
Reaction score
486
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. *Prime area* Nyuma ya barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme.
Maji ya Dawasa yako Mita 12.

*NB: kituo cha basi ni Bunju-Mingoi, Njia ya kuelekea Kimere, Mita mia 600 toka barabara ya Lami*

Ni pazuri kwa Plan ya Makazi bora-binafsi/biashara au Apartments(Nyumba za kupangisha),

Ukubwa wa kiwanja ni (30mita kwa 30mita).
Square mita 900.

Bei 20M

Contact: 0713 092 936


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Weka picha ..dunia ya sasa bila picha watu huwa hawaamini..asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…