Plot for sale: Igoma Jijini Mwanza

Plot for sale: Igoma Jijini Mwanza

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza

Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)

Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea zamani tu ndio maana bei imechangamka.!!

Bei: 75 million.

Piga simu 0683011003

JINSI YA KUFIKA.
Kiwanja kiko eneo la machinjioni, igoma jijini mwanza.
IMG_20210619_070517_203.jpg

Hapa ni upande wa nyuma wa zile fremu za maduka, kwa mbele kidogo choo inaonekana, na kulia kwako ni nyumba za majirani.

Kimepimwa, hati ipo.

Kiko barabarani kama inavyoonekana.

Kina Fremu 4 za maduka kama zinavyoonekana na ziko tayari kwa matumizi.
IMG_20210619_070342_117.jpg

Hizo frem ziko tayari kwa matumizi, hapa mbele ni barabara inapita inayoenda mpaka machinjioni na kukata kwenda kijereshi kuunga barabara kuu ya lami Mwanza Musoma.

Kina nyumba ya chumba na sebule.
IMG_20210619_070504_134.jpg

Nyumba kamili ya makazi kama inavyoonekana. Unaweza kununua na kuweka mtu aendelee kuishi hapa akulindie kiwanja, au ukabomoa na kujenga unachotaka.

Umeme uko hapo.
IMG_20210619_070000_304.jpg

Ukitokea Kijereshi kwa gari, unakata kuja machinjioni sokoni kisha unakata ndani unafika, mkabala na nguzo namba 5 ya umeme mwanza-musoma.

IMG_20210619_065943_744.jpg
 
sitaki kuahribu biashara yako unasema machinjioni ni hot cake? unless ile harufu na uchafu ushakuwa fixed?duh hapana aiseee nafikiri naymongolo inaenda kuwa hotcake,sina hata 100 kama ningekuwa nayo hiyo hela nanunua nyumba kali nyasaka au maduka 9
 
Usikariri bwana njaa kali.

Ukisikia machinjioni basi unajua the whole area is for slaying and full of dungs.

You are wrong man,

Kituo cha kuchinjia mifugo kiko zaidi ya kilomita 1 kutoka eneo la makazi, tena next to machinji kuna viwanda kama Afrisian, MCL nk

Karibu sana na jifunze maana ya hot cake
 
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza

Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)
View attachment 1823297
Hapa ni upande wa nyuma wa zile fremu za maduka, kwa mbele kidogo choo inaonekana, na kulia kwako ni nyumba za majirani.

Kimepimwa, hati ipo.

Kiko barabarani kama inavyoonekana.

Kina Fremu 4 za maduka kama zinavyoonekana na ziko tayari kwa matumizi.
View attachment 1823294
Hizo frem ziko tayari kwa matumizi, hapa mbele ni barabara inapita inayoenda mpaka machinjioni na kukata kwenda kijereshi kuunga barabara kuu ya lami Mwanza Musoma.

Kina nyumba ya chumba na sebule.
View attachment 1823295
Nyumba kamili ya makazi kama inavyoonekana. Unaweza kununua na kuweka mtu aendelee kuishi hapa akulindie kiwanja, au ukabomoa na kujenga unachotaka.

Umeme uko hapo.
View attachment 1823302
Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea zamani tu ndio maana bei imechangamka.!!

Bei: 75 million.

Piga simu 0683011003

JINSI YA KUFIKA.
Kiwanja kiko eneo la machinjioni, igoma jijini mwanza.

Ukitokea Kijereshi kwa gari, unakata kuja machinjioni sokoni kisha unakata ndani unafika, mkabala na nguzo namba 5 ya umeme mwanza-musoma.

View attachment 1823301
75M???? we jamaa acha mbwembwe

Mimi nauza nyumba ya kununua na kuingia kuishi yenye uzio(fensi) wa matofari safi kabisa M50 kule Usagara na sijapata mteja mpaka leo ni mwaka sasa,wewe unauza uwanja M75.

Anya way all the best
 
Back
Top Bottom