Wow inabidi nipatembelee bibi yangu
Halafu kuna yule Bi Zenabu wa Aunt Zainab Natural Super Clay alitangaza humuhumu kuwa anauza eneo kubwa la shamba lake huko. Binafsi sijaliona lakini alisema lipo njia hiyo hiyo ya kwendea Shungubweni beach kutokea Mkuranga. Wahini.
Inabidi uongee nae ukalione na akupe na beiHalafu kuna yule Bi Zenabu wa Aunt Zainab Natural Super Clay alitangaza humuhumu kuwa anauza eneo kubwa la shamba lake huko. Binafsi sijaliona lakini alisema lipo njia hiyo hiyo ya kwendea Shungubweni beach kutokea Mkuranga. Wahini.
Sihitaji. Huko tuna maeneo ya enzi na enzi. Kwetu huko.
Halafu kuna yule Bi Zenabu wa Aunt Zainab Natural Super Clay alitangaza humuhumu kuwa anauza eneo kubwa la shamba lake huko. Binafsi sijaliona lakini alisema lipo njia hiyo hiyo ya kwendea Shungubweni beach kutokea Mkuranga. Wahini.
Ni kweli kwamba mna date?Sihitaji. Huko tuna maeneo ya enzi na enzi. Kwetu huko.
Ni kweli kwamba mna date ?