Ina maana sqm 1 ni TZS 42000Hatuwezi puuza mawazo yako...ili ebu fanya kuuliza maeneo hayo gharama za viwanja vilivyopimwa, utajua kama ni ya kutunga au halisi.
Kibada Kwa Joti ndo imefika 150 kiwanja?
Hapo jirani Kwa samata bado watu wananunua hadi million 4..
Hata kilomita moja haifiki..
Punguzeni tamaa
Eneo lipo Kibada block 18,
Ukubwa wa eneo ni SQM 3500.
Eneo lemepimwa na lina hati kutoka wizara ya Ardhi.
Linafaa kwa matumizi mbali mbali, kama vile, Go down, Kiwanda kidogo, Ujenzi wa shule, Makazi ya kuishi n.k
Lipo karibu na huduma zote muhimu kama vile Maji, umeme , huduma za Afya na barabara.
Location: Mita chache kutoka barabara kuu KIBADA CENTRE.
BEI: Mil TSH150,000,000/= Maongezi yapo.
Lipo jirani na nyumba ya Joti iliyopo kibada.
Kwa mawasiliano zaidi +255758676743
KARIBUNI SANA
View attachment 1708928View attachment 1708930
Tofautisha kiwanja kilichopimwa na wizara ya ardhi na kilichorasimishwa, thaman haziwez kuwa sawa...mkuu.Kibada Kwa Joti ndo imefika 150 kiwanja?
Hapo jirani Kwa samata bado watu wananunua hadi million 4..
Hata kilomita moja haifiki..
Punguzeni tamaa
Sina maana mbaya mkuu...nimeeleza hivyo ili iwe rahisi mtu kufahamu location, kwa sababu block 18 ni kubwa, Joti ni mwananchi wa kawaida tu, na sinaga ushamba huo, anyways bora ww umekaribiana na ukweli ila pia maongezi nayaruhusiwa kiongozi...si unajua hiyo ni biashara[emoji4] we can negotiate[emoji848] Your most welcome bossKwani Joti n
Kwani Joti ndio nani mpaka usema karibu na Joti? Hivi mtu akinunua karibu na joti ndio cement inashuka bei? Nachokupongeza tu uwanja wako ni mkubwa ila price inabidi irange mil 100 mpaka 120.