K kunbert New Member Joined Sep 7, 2017 Posts 3 Reaction score 2 May 16, 2022 #1 Kiwanja kinauzwa kina hati safi chamazi kanisani(2643Sqm), mtaa wa mkondogwa less than a kilometer kutoka barabara ya lami Price 50,000,000=tsh....Negotiable!!
Kiwanja kinauzwa kina hati safi chamazi kanisani(2643Sqm), mtaa wa mkondogwa less than a kilometer kutoka barabara ya lami Price 50,000,000=tsh....Negotiable!!
F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 May 16, 2022 #2 Nakushauri ukate viwanja 12 kisha uza kwa milioni 5 kila kimoja.. hiyo milioni 55 unaipata haraka sana kuliko kusubiri mteja mmoja
Nakushauri ukate viwanja 12 kisha uza kwa milioni 5 kila kimoja.. hiyo milioni 55 unaipata haraka sana kuliko kusubiri mteja mmoja