Plot for Sale Salasala Kinzudi: 5299sq meter kina Offer Kilomita 6 kutoka main road, kutoka Mwenge 14kms Bei 60m. Kinaweza kugawanywa mara nne kila robo ni 17m
Mimi nahitaji kiwanja katika mojawapo ya maeneo yaliyopimwa huko Kigamboni. Nikipata cha low density nitashukuru zaidi. Kama unacho au rafiki au ndugu yako unayemfahamu anakiuza ni-PM tuongee.