Naona hukumention Sinza/Kijitonyama, any way labda kwa faida ya wengine ni kwamba, mimi ninayo plot iko maeneo ya Kijitonyama nyuma ya Mapambano shule ya msingi, barabara inayoelekea Blue Rose, au naweza kusema iko nyuma ya flats zilizokuwa za BOT wakawauzia UDSM.
Plot yenyewe imezungushiwa fence, ina gate kubwa la kuingilia magari, ina vyumba viwili vya mbele (vikubwa na vizuri) vyenye ukubwa wa 5mts * 5mts kila kimoja (vinaweza kutumika kama flame za biashara au hata kwa makazi), ina maji na umeme. Kwa sasa nimewakodisha vijana wa garage wanafanya kazi ya kunyoosha na kupiga rangi magari.
Ina hati, ila sijawahi kufanya transfer kutoka kwa aliye niuzia miaka ya nyuma maana sikuwapo hapa mjini kwa muda mrefu. Ila Accounts za maji na umeme zote ziko kwenye jina langu.
Bei inaanzia 80mill maongezi yapo. DALALI HATAKIWI.
Kwa anayetaka kwenda kuona apige simu No. 0715 791610