Mtafute "Masamaki"Ipo mtaa wa jangwani na mhoro bei ni inaanzia 800 mil
Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo??Kwa kawaida Kariakoo hapo inayouzwa ni nyumba chakavu ya familia/urithi na kwa jinsi walivyo wengi sio chini ya 600ml.
Sabab n weng au thaman yake ndo hiyo??
Mbona wakiwa na plot nje ya mji hata kana wako wengi hawauzi 600ml? Hiyo ndio thaman yake kwa kariakooMara nyingi wanajipigiaga hesabu ya hela watagawana ngapi,sio thamani ya soko.