Plot inauzwa Kibaha

Ndamwe

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Posts
228
Reaction score
161
WanaJF wenzangu heshima kwenu,

Kutokana na tatizo nililo nalo kwa sasa nalazimika kutangaza kuuza plot yangu iliyoko Kibaha kwa Mathiasi yenye eneo la takribani ekari moja iliyopandwa miti ya aina ya TEAK (mitiki). Bei ni 6 millioni. Kwa mwenye interest anaweza kuniandikia email ndamwe@gmail.com, au simu 0713-354090 kwa mawasiliano zaidi. Asanteni.
 
Shukrani mkuu lakini ungepima kama ni metre ngapi tujue makisio sio mazuri mkuu.
 
Pima,kisha utuambie vipimo vya miti yako ni mita ngapi kwa ngapi,la mwisho miti hiyo ina umri gani mpaka sasa. tupe na umbali toka barabarani mpaka ktk plot yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…