Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo umenunua kiwanja sio nyumba , kwa bei Za viwanja Mbweni JKT ni reasonable price unless kama sio Mbweni beach bei ingepungua kidogoKiukweli 55milioni kwa hiyo 'Nyumba' ni parefu mnoo. Muuzaji tafakari upya au njoo na ufafanuzi zaidi.
Katika hatua za ujenzi, hapo ni kama theluthi moja tu, maana yake kuna theluthi mbili zingine zaidi zitahitajika kwa mnunuzi kuweza kuimalizia hiyo nyumba. Yaani mnunuzi akishanunua itampasa kusaka tena zaidi ya 100milioni ili kuimalizia unless kama hiyo bei ya kununua sio realistic.