Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee na mimi umenitoa tongo tongo.Hata nikikuelewesha hutoweza kuelewa, subiri zoezi la post code likamilike huenda utaelewa.
Plot ni kiwanja, house ni nyumba, block ni pande la ardhi lenye viwanja vingi. Sasa vitu vidogo kama hivi kama huvijui huu ni mtihani.
Asante kwa swali la kuellmisha. Tusubiri wataalamHabari za muda huu wapendwa wana JF
Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo
Plot number ni namba ya kiwanja ambayo kiwanja huwa na namba moja tu, house number ni namba ya nyumba ambayo uendana na address kiwanja kimoja kinaweza kuwa na house number mbili au hata Zaidi mfano apartments na duplexes huwa na house number/addresses Zaidi ya moja na block ni namba ya mtaa mzina au eneo zima ambalo lina viwanja na nyumba nyingi tu so nyumba hata kumu na viwanja kwa pamoja zinakuwa ndani ya block number mojaHabari za muda huu wapendwa wana JF
Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo