Plot number Block number na House number

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Habari za muda huu wapendwa wana JF.

Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo.
 
Hata nikikuelewesha hutoweza kuelewa, subiri zoezi la post code likamilike huenda utaelewa.

Plot ni kiwanja, house ni nyumba, block ni pande la ardhi lenye viwanja vingi. Sasa vitu vidogo kama hivi kama huvijui huu ni mtihani.
 
Aisee na mimi umenitoa tongo tongo.
 
Habari za muda huu wapendwa wana JF
Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo
Asante kwa swali la kuellmisha. Tusubiri wataalam
 
Habari za muda huu wapendwa wana JF
Kama maada inavyosema hapo juu ningependa kujua utofauti uliopo kati ya plot number, house number na block number mfano tu mdogo unavyotaka kusajiri business name wanadai vitu kama hivyo
Plot number ni namba ya kiwanja ambayo kiwanja huwa na namba moja tu, house number ni namba ya nyumba ambayo uendana na address kiwanja kimoja kinaweza kuwa na house number mbili au hata Zaidi mfano apartments na duplexes huwa na house number/addresses Zaidi ya moja na block ni namba ya mtaa mzina au eneo zima ambalo lina viwanja na nyumba nyingi tu so nyumba hata kumu na viwanja kwa pamoja zinakuwa ndani ya block number moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…